Bongo Music

Bruce Africa – You | mp3 Download | Lyrics | Video

Bruce Africa must be one of the happiest musicians in the world after his song becomes a fan favorite. You song has been trending on almost all social media platforms, particularly Tiktok. Many people have done you by Bruce Africa challenge in making this song popular.

Bruce Africa – You mp3 file

All bruce Africa fans you are now happy all over eastern Africa after the release of his latest video. bruce will quickly become a fan favorite, not to mention his lovely voice. we’re now waiting for this guy to release his next hit song.

Watch the Bruce Africa video attached below

Bruce Africa – You lyrics

Verse;
Imenifika kwa koo,
Inanibidi niseme ndipo nipone,
Pale ulipo babe nile location nisogee,
Nije nikuone ,
Ikishindikana basi
Nitumie video zako za Snapchat
You know I like that
Nimekumiss Sana Macho yakutaka
Videocalls hata,
Mda ukipata ,
nitafurahi nikikuona mwanadada

Hook;
Your My angel my queen
Unachotaka mi sikatai,
Juu Ni upendo my dear
Unaonipa mi sikinai
Uuuh
angel my queen
Unachotak mi sikatai,
Juu Ni upendo my dear
Unaonipa mi sikinai

Chorus;
I miss you
Nakumiss vibaya damn (yeah)
I miss you (babe eh)
Nakumiss vibaya damn ( vibayaa)

Verse
Utani utani wako na michezo hunikosha,
Fanya uridi upweke utasema tesa babe,
Uwepo wako kwangu unanitosha “babe”
Do you miss me
Au mimi ,
babe
Hukumiss daily
Daily Daily
Im so crayz
For your love im cryz
babe
nakumiss daily
Daily Daily

Hook;
Your My angel my queen
Unachotaka mi sikatai,
Juu Ni upendo my dear
Unaonipa mi sikinai
Uuuh
angel my queen
Unachotak mi sikatai,
Juu Ni upendo my dear
Unaonipa mi sikinai

Chorus;
I miss you
Nakumiss vibaya damn (yeah)
I miss you (babe eh)
Nakumiss vibaya damn ( vibayaa)

(Your My angel my queen
Unachotaka mi sikatai,
Juu Ni upendo my dear
Unaonipa mi sikinai)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *